Thursday, August 26, 2010

MISA TAKATIFU KWA WATANZANIA, JUMAPILI SEPTEMBA 5, 2010, SAA 8 MCHANA

Watanzania wote mnakaribishwa kwenye siku ya kusali. Huu utakuwa mwanzo mzuri. Wahenga walisema, "Mungu akiwa upande wetu, tumwogope nani?".  Padri Wolfgang amekubali kutuombea Misa hiyo.

ANWANI:
Capuchin College
4121 Harewood Road NE
Washington, D.C. 20017

Kwa Mawasiliano zaidi Mpigie     
·        Padri Wolfgang Pisa OFM Cap.  202 529 2188   ext 112
          or 313 316 1444
·        Padri  Evod Shao 443-827-9741
            901 Poplar Grove St. Baltimore, MD 21216
·        Aunt Julie Sarwatt 301 431 0624

Tafadhali wapigie simu/ wajulishe marafiki, ndugu na jamaa na wape anwani  au namba za za simu hapo juu  iwapo wanayo maswali. 

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake