ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, August 19, 2010

Mishumaa hii ilisumbua sana MBOWE(sebuleni)



Mishumaa hii inanikumbusha mbali sana hasa siku za Jumapili kabla mambo ya toto disco hayajaanza watu wanaanzia Oysterbay Beach na Maredio yao,wakitoka hapo wanapitia Oysterbay Hotel na baadae watu wote tunamalizia Mbowe Hotel Enzi hizo viti vya bati rangi ya blue

No comments: