![]() |
| Mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombale-Mwiru (kushoto), akibadilishana mawazo na katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Chiligati wakati wa mkutano wa Halmashauri Kuu (NEC) wa mchakato wa kupitisha majina ya wagombea wa nafasi za ubunge na udiwani wa chama hicho, mjini Dodoma.Katikati ni Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa.(Picha na Robert Okanda). |

No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake