![]() |
| Mwenyekiti wa Chama cha Democratic(DP), Christopher Mtikila, akiwa katika gari la wakili wake, Penitho Mandele, baada ya kuachiwa katika Mahakama ya Mwanzo Kariakoo Dar es Salaam jana alipofutiwa shitaka la kifungo cha miezi sita baada ya kulipa deni la Sh.Milioni 9.8 alizokuwa anadaiwa na Pascazia Zelamula Mattete.(Picha na Yusuf Badi). |

No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake