![]() |
| Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Rais Jakaya Kikwete, akipiga kura ya maoni kupendekeza mgombea wa udiwani na ubunge kijijini kwake Msoga, Chalinze wilayani Bagamoyo mkoani Pwani. Anayemshuhudia ni msimamizi wa kituo hicho, Mwajuma Khalfani. (Picha na Juma Kengele). |

No comments:
Post a Comment