Friday, August 13, 2010

Image
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi( CCM) Taifa, Rais Jakaya Kikwete, akifungua rasmi kikao cha kamati kuu ya CCM Taifa kilichokutana jana katika ukumbi wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Makao Makuu mjini Dodoma. (Picha na Amour Nassor).

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake