Saturday, August 7, 2010

MWEZI MTUKUFU WAJA, SIKILIZA KUR'AN TAKATIFU MTANDAONI!

Assalam alaykum,
Hebu funguweni website hii http://tanzil.info/. Upande wa mkono wa kushoto kuna wasomaji wa Qurani wote maarufu, juzuu zote 30, sura zote pamoja na chaguo la tafsiri ya lugha unayoitaka unaweza kusikiliza au kusoma tafsiri yake, Baada ya chaguo lako la lugha unayoitaka iguse aya yoyote na utaona tafsiri yake ama bonyeza Player na usikilize msomaji huku ukisoma maana yake. hii inawafaa waislamu na wasiokuwa waislamu ambao wangependa kujua Mungu anasema nini hasa katika Kur'ani katika lugha unayoielewa, kikiwemo Kiswahili. Tafadhali tuma kwa wengine kwa faida ya umma wa kiislam.

Kiungo kizuri.
Allah amlipe kila anayesambaza linki hii kwa waislam wenziwe. Na kwa kila herufi iliyosikiwa na kusikilizwa basi Allah amlipe kila mwislam aliyeweza kubofya na kupeleka mbele email hii. Amin! Swaumu njema!

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake