![]() |
| Naibu Waziri wa Uchapishaji na Habari wa China, Li Dongdong (wa pili kushoto) akitazama gazeti la HABARILEO wakati alipotembelea ofisi za magazeti ya Daily News, Sunday News, HABARILEO na HABARILEO Jumapili Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mpigachapa Mkuu wa Serikali, Kassian Chibogoyo, Mwenyekiti wa Bodi ya Tanzania Standard Newspapers (TSN) Limited, Wilson Mukama (wa pili kulia) na Naibu Mhariri Mtendaji wa TSN, Mkumbwa Ally (wa kwanza kulia). (Picha na Robert Okanda) |

No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake