![]() |
| Rais Jakaya Kikwete (katikati) akifungua kitamba kuzindua Ujenzi wa Miundombinu ya Mfumo wa Mabasi yaendayo Haraka Dar es Salaam (DART), eneo la Kivukoni jana sambamba na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia, John McIntire (kulia). Kushoto ni Waziri wa Miundombinu, Dk. Shukuru Kawambwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, William Lukuvi. (Picha na Fadhili Akida). |

No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake