![]() |
| Rais Jakaya Mrisho Kikwete akibonyeza kitufe kuzindua mradi wa Umeme unaotumia gesi ya asilia huko Somanga Fungu jana jioni, huku Waziri wa Nishati na madini William Ngeleja(watatu kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO Wiliam Mhando(wa nne kushoto) wakiangalia. Wa kwanza kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi Said Meck Sadiq.(picha na Freddy Maro) |

No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake