Wednesday, August 11, 2010

Image
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Amani Abeid Karume, akikagua gwaride rasmi lililoandaliwa kwa ajili ya kuvunja Baraza la Wawakilishi, Chukwani nje kidogo ya Zanzibar jana. (Picha na Ramadhan Othman wa Ikulu)

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake