Thursday, August 19, 2010

WATANZANIA WENZANGU,DMV

Robert Perdue ametoa msaada wa nguo kusaidia Watanzanioa Wenzetu,Tanzania wanaoishi bila hata kua na uwezo wa kununua nguo wala viatu,Mwenyezi Mungu Mwingi wa rehema akuzidisie mara elfu
Aunt Susie akitoa msaada wa nguo kusaidia Watanzania wanaoendesha maisha yao ya kila siku bila ya kua na uwezo wa kununua nguo na viatu,Aunt Susie yeye ni Mmarekani,Asante Aunt Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema akuzidishie mara elfu

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake