Friday, September 10, 2010

MKONO WA EID

VIJIMAMBO inawatakia EId njema waislamu na wasomaji wote wa blog hii na Mwenyezi Mungu awajaalie kila la kheri mwenye kula wali mweupe ruksa...mwenye kula wali wa rangi ruksa..ili mradi sikukuu hii iwe na amani na upendo,Amen.....

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake