Sunday, September 19, 2010

SLAA ATINGISHA KARATU

Baadhi ya wanachma na wapenzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wakishangilia hotuba ya mgombea urais wa Tanzania kupitia chama hicho, Dk. Willibrod Slaa, wakati akihutubia mkutano wa kampeni zake, kwenye Uwanja wa Bwawani mjini Karatu jana. 

(Picha na Joseph Senga)

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake