Monday, October 4, 2010

Image
Baadhi ya watahiniwa wa mtihani wa kidato cha nne wa Shule ya Sekondari Alfa Gems katika Manispaa ya Morogoro, wakiwa chini ya mti wakijiandaa kwa somo la Uraia baada ya kufanya mtihani wa Hisabati. Mitihani hiyo ilianza jana nchi nzima kama walivyokutwa shuleni hapo. (Picha na John Nditi).

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake