Monday, October 11, 2010

Mwanamitindo Asia Idarous kutoka Tanzania kufanya vitu vyake Uzinduzi VIJIMAMBO

Manakaribishwa kwenye uzinduzi wa VIJIMAMBO BLOG,October 23,2010

THE MIRAGE HALL
1401 UNIVERSITY BLVD
HYATTSVILLE,MD,20783

-Kutakua na mgeni wa Heshima Maalum
-Mbongo anayeimba Gospal
-Ma Winny na vazi la Khanga
-Wafanyabiashara Wabongo wadhamini wa VIJIMAMBO kuelezea biashara zao
-Mwanamitindo kutoka Tanzania Asia Idarous
-Aj Ubao kuvamia jukwaa
-Vunja Mbavu na comedy Mbongo 
-Wageni na viongozi mbali mbali za Jumuiya za Wabongo kutoka Mikoani
-Na mengine mengi.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake