Monday, October 18, 2010

Shukrani

Quizy,Ronnie na Ethan wanasema asante kwa wote waliofanya shughuli yao iwezekane na kua nzuri namna ile na wanapenda kuwashukuru watu wote waliofika na wanajua wengi wao walisafiri kutoka mbali kwa gharama nyingi lakini yote ni kwa ajili ya upendo ma mshikamano kwao ndio maana ikawezekana.

Pia wanatoa shukrani kwa wote ambao hawakupata nafasi ya kuhudhulia shughuli hii kwa sababu ya kutingwa na shughuli nyingi au kukosa usafiri kwa muda muafaka wanajua nia ilikuwepo.

Pia tunatoa shukrani za pekee kwa wote walisaidia kwa hali na mali wengi wakiwemo marafiki zangu,hasa walipoacha shughuli zao na kuweza kutupikia chakula kingi na kitamu namna ile.kusema ukweli nimeguswa sana,naomba ushirikiano huu usiishie hapa.

Asanteni jamani na Mwenyezi Mungu awabariki sana.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake