Ile Mechi ya Watani wa Jadi Simba na Yanga iliyochezewa Houston,TX,Hatimae imeisha kwa timu zote kutoka Droo ya 1-1
Simba ndio iliyokua ya kwanza kupata bao kwa mshambuliaji wao hatari aliyefunga kwa shuti kali la kushutukiza,Alune Mwasa,
baada ya bao hilo Yanga walilishambulia goli la Simba kama nyuki na kuweza kupata bao kupitia mchezaji wao mahili mwenye mbwembwe nyingi awapo uwanjani,Steve Molel.
Mpaka dakika 90 Simba 1 Yanga 1.
Picha kuhusiana na mpambano huu zinakuja
No comments:
Post a Comment