Sunday, December 19, 2010

FOR THE FIRST TIME IN H-TOWN

Mwana mitindo maarufu kutoka Tanzania bibie Asia Idarous, atawasha moto mjini Houston pamoja na vitongoji vyake katika fashion show ya mavazi yake ya kukata na shoka siku ya December 25,2010.
Fashion show hiyo kabambe itaambatana na muziki mzito utakaoporomoshwa na Dj Luke kutoka DC & Dj Rex Houston. 

 
Njoo ujionee vipaji na usanii katika fani ya mavazi pamoja na burudani ya muziki wa aina zote 
old schoo,Hip hop,Reggae,BongoFlava,Bolingo,Kwaito,Chalanga,Soca Rhumba and Zouk.

Karibu upate ile kitu Roho inapenda

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake