Thursday, December 23, 2010

Image
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Prof. Benno Ndulu akikabidhi albamu yenye toleo jipya la noti kwa Rais Jakaya Kikwete, Ikulu Dar es Salaam. Noti hizo zitaanza kutumika wiki ya kwanza ya mwezi Januari, mwakani. Kulia ni Waziri wa Fedha, Mustafa Mkulo. (Picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake