Hasa wale wachezaji wa mpira wa miguu,kutakuwa na mechi ya sisi wenyewe.
Madhumuni ya haya mazoezi ni kuchangisha pesa kwa ajili ya kusaidia kuchangisha mfuko wa kusafirisha mwili wa Marehemu Juliana Senya.
"KILA GOLI LITAKALOFUNGWA LITACHANGIWA NA HIYO TIMU KIASI CHA DOLA MIAMOJA"
Mfano: Team A Goal 3 ($300) na Team B Goal 2 ($200).Jumla $500.
5 player each=$60 5player each =$40
Lini: Ijumaa 12/24/2010
Wapi:Balboa sports center (17015 Burbank Blvd, Encino, CA 91316)
Viwanja vipo kwenye corner ya Balboa blvd na Burbank blvd.
Viwanja vipo kwenye corner ya Balboa blvd na Burbank blvd.
Viwanja hivi vina taa za umeme mpaka Usiku saa mbili au tatu.
Viwanja hivi vina 8 tennis court,2 basketball court,6 soccer fields,2 baseball field.
Bila kusahau kuna indoor 4-6 ping pong tables and 1 basketball court.
Muda: saa 9 mchana
Wenye majina hapa chini please don't miss,kama haupo kwenye hii list unatakiwa uje pia.
1.David
2.Erick
3.Erick R
4.Addul
5.Ali
6.Iddy
7.Haji
8.Khalifa
9.Ngomesha
10.Mike mbogo
11.Dute
12.Achi
13.Ambrose
14.Yasin
15.Tito
Tutaonana wote uwanjani na harambee time.
David: 818 613 5090
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake