Monday, December 20, 2010

MAKAMUZI YA AY NDANI YA MOSCOW

AY akikamua pamoja na mashabiki ndani ya jiji la Moscow katika ukumbi wa Tokyo Club.
MZEE wa Commercial, Ambwene Yesaya 'AY' juzi Jumamosi aliangusha shoo kali katika tamasha lijulikanalo kwa jina la East Africa Bash ndani ya jiji la Moscow katika ukumbi wa Tokyo Club.

Makamuzi yakiendelea ukumbini hapo.
PICHA KWA HISANI YA GLOBAL PUBLISHERS

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake