Wednesday, December 22, 2010

Mtwango Mpya wa Babu Kaju

HEY MZEE HII KAZI NIMEIFANYA KWA SABABU WATU WENGI WAME ANZA KUKIUZA KILA KITU WALICHO KUA NACHO KWA SABABU YA PESSA . MUNGU KAMPA BINADAM MOYO TU NA HUTU NA UBINADAMU NA UKIFA BIRA UBINADAMU HATA KAMA ULIKUA TAJIRI UTAKUA HATIANI KWA HIYO HII VIDEO NA WIMBO NI KUWAKUMBUSHA BINADAM WENZANGU USIUZE UBINADAMU KWA SABABU YA PESSA KWA SABABU MUNGU ATAKU ULIZA SIKU YA MWISHO. NEVER NEVER SURRENDER BY THE BUSHMAN ALEX KAJUMULO.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake