Rais Jakaya Kikwete akimwapisha Kudra Mwinyimvua kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Tabora, wakati wa hafla ya kuapisha makatibu Tawala sita Ikulu, jijini Dar es Salaam. Kabla ya uteuzi huo, Kudra alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilindi mkoani Tanga. (Picha na Freddy Maro). |
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake