Wakati maadhimisho ya sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya yakianza mwishoni mwa wiki hii, wakazi wengi wa Dar es Salaam wamekuwa wakijitokeza kununua mahitaji mbalimbali kwa ajili ya sikukuu hizo. Hapa ni mtaa maarufu wa kibiashara wa Kongo ukiwa umefurika watu. (Picha na Fadhili Akida). |
DUUUUUU
ReplyDelete