Monday, December 13, 2010

Image
Wanafunzi Mariam Mohamed (kushoto) na Juliana Maneno wa Shule ya Msingi Hoza, kata ya Kibati wilayani Mvomero, mkoani Morogoro wakicheza ngoma ya selo na baba yao Mohamed Omar 'Mangelepa' mbele ya mbunge wa Mvomero, Amos Makalla wakati Mbunge huyo alipokuwa kwenye ziara wilayani humo. (Picha na John Nditi)

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake