Saturday, January 22, 2011

Bi Zaina(kati) na Irine(kulia) wakipata U-kodak na Staa Kanumba The Great
Didi Vava(kulia) akilonga na Staa Kanumba The Great

DMK(kulia) akipata U-kodak na Staa Kanumba The Great,Millenium Club

Merere Jacob nae hakua nyumba kupata U-kodak wa kumbukumbu na Staa Kanumba

Wadau mbali mbali wakipata U-kodak na Kanumba pichani ni John(kati) Mashaka Bilali wakipata kumbu kumbu na staa wetu wa Bongo Movie

DMK akimporomoti Didi...no akipata U-kodak Moment na Didi Vava

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake