Staa wetu wa Bongo Movie Kanumba atakuwepo ndani ya nyumba Millenium Club,karibu tujumuike nae.
picha chini Kanumba alipotembelea New york city kununua vifaa vya production katika kampuni yake...alitembelea duka moja kubwa na maarufu kwa vifaa vyote vya movie production na sound linaloitwa B&H.
Kwa picha zaidi za Kanumba The Great mtembelee kwenye Blog yake
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake