Kikao Cha Harusi

Paul & Bahati
Bahati Mukama na Paul Walden tunatarajia kufunga ndoa tarehe 10 mwezi wa 9, 2011. Bridal shower/Sendoff itafanyika tarehe 3 mwezi wa 9. kikao chetu cha kwanza kinafanyika nyumbani kwetu j'mosi ya tarehe 15 mwezi huu.
104 Ellingwood Lane,
Frederick,MD,21702
kuanzia saa 11 jioni.
Karibuni sana
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake