![]() |
| Naibu Waziri wa Viwanda, Biashara na Masoko, Lazaro Nyalandu (kushoto) akisikiliza jambo kutoka kwa mfanyabiashara wa dagaa wa soko la Kariakoo shimoni, Jumanne Kakozi wakati waziri huyo alipofanya ziara sokoni hapo Dar es Salaam jana kujionea maendeleo na changamoto zinazolikabili soko hilo. Wa pili kushoto ni Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa. (Picha na Fadhili Akida). |

No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake