Friday, January 28, 2011
Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-Moon jijini Geneva Uswisi. Rais Kikwete yupo nchini humo kwenye Mkutano wa Kwanza wa Tume ya Habari na Uwajibikaji wa Afya na Wanawake na Watoto. (Picha na Freddy Maro).
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake