Sunday, January 16, 2011

SHUKRANI ZA DHATI

Margareth na Dotto wanawashukuru wote kwa kufanya siku hii ya shower ya mtoto ifanikiwe,tunawashukuru  wote kwa zawadi nzuri kusema ukweli hatujui tuwalipe nini kitakacholingana na upendo wenu mkubwa mliotuonyesha kwetu.

Tunajua kusema asante hata robo haifikii na mambo makubwa mliyofanya lakini hatuna jinsi nyingine ya kuwashukuru zaidi ya kusema asanteni sana na Mwenyezi Mungu awazidishie.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake