Saturday, January 22, 2011

Staa wa Bongo Movie,Kanumba The Great atinga Millenium Club

Ni Kanumba(kati) akiwa na Samuel Malonja(kushoto) na Peter Ligate katika U-kodak moment mara walipokutana Millenium Club Ijumaa Jan 21,2011
Kutoka kushoto ni Jacob Merere,Samuel Malonja na Kanumba the Great wakiwa Millenium Club
Staa wetu wa Bongo Movie Kanumba The Great(kulia) akiwa Samuel Malonja kwenye U-kodak moment
Jacob Merere akiwa Millenium Club akipata menyu

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake