Saturday, January 15, 2011

STOP!!!

Haya mambo ya kupiga picha iko siku mtu utakula kibano,wengine wanakua wameaga wamesafiri au wapo kazini,ghafla wake zao wanawaona kwenye majumba ya starehe inakua soo,haya bora salama!!

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake