Friday, January 28, 2011

Tai ya Uhuru Yenye Miaka 50

Huyu ni John Hatch mmoja wa kundi lijulikanao Friends of Tanzania akiwa Ubalozi wetu Washington,DC, akiwa amevaa Tai zilizotolewa maalum wakati Tanganyika inapata Uhuru,Yeye mwenyewe amesema atakapoenda Tanzania ataipeleka Makumbusho.Picha chini moja ya tai zilizokua zinaitwa Independence Commemorative Tie.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake