Sunday, January 16, 2011

Wageni wakipata menyu

Machopochopo yaliyoandaliwa jana kwenye shower ya mtoto ya Margareth iliyofanyika jana  Bowie,Maryland
Kushoto ni Margareth na Dotto wakijumuika pamoja na wageni wao kwenye menyu la nguvu jana kwenye shower ya mtoto wao iliyofanyikia Bowie,Maryland.
Margareth akijihudumia kamenyu kiduchu
Dotto kushoto akiwa nyuma ya Margareth akimuhakikishia usalama
Dotto akiwa mwenye furaha kama anavyoonekana hapa akijipakulia chochote 
Juu na chini,Waalikwa wakiwa na nyuso za furaha kama wanavyoonekana kwenye U-kodak kila mtu akisubili zamu yakwenda kujipakulia chakula.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake