Friday, February 4, 2011

Kamati ya kuunda katiba,DMV

Mwenyekiti wa kamati ya kuunda katiba ya Jumuiya ya Watanzania DMV ameomba Watanzania waishio DC,MD,VA kama unamawazo au chochote unafikiri kinaweza kuboresha katiba mpya,basi usisite waandikie Kamati ya Kuunda katiba kupitia tanzania61@gmail.com

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake