Thursday, February 24, 2011

Maandamano ya Chadema Jijini Mwanza Leo

 Maelfu ya wakazi wa jiji la Mwanza leo asubuhi walijumuika na viongozi wa kitaifa wa CHADEMA jijini humo katika maandamano makubwa ya kupinga kupanda kwa gharama za maisha na upatikanaji wa nishati ya umeme.(picha kwa hisani ya Haki Ngowi)

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake