Tuesday, February 1, 2011

Masikini dada wa watu !

2 comments:

  1. Hayo ndio mambo ambayo wa-Tanzania wanapenda kuyasikia na kuyaongelea. Sio kwamba tuna maadili, bali vituko kama hivi ni kama muvi za kusisimua.

    Ingekuwa ni warsha inayohusu elimu, kwa mfano, sijui ni wangapi wangehudhuria. Lakini tukio kama hili linavutia wadau kama sumaku.

    Halafu, inakuwaje tukio kama hili, kama kweli ni la muhimu kiasi hiki, lililowahusu watu wawili, anayeletwa kwenye mahojiano ni huyu mwanamke tu?

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake