Banda la Vacation 2 Africa kama lilivyozaminiwa na shirika la ndege la Ethiopia kwenye Adventure Travel Show iliyofanyikia Washington,DC Convention Center
Kushoto ni Seif Msabaha akiwa naThomas Kisura kwenye banda lao la Vacation 2 Africa wakinadi vivutio vya utalii wa Tanzania kwa wadau wa Marekani
Thomas Kisura akiwa kwenye banda lake
Thomas Kisura wakiongea jambo na meneja wa shirika la ndege la Ethiopia
Juu na chini,Thomas Kisura akiwaeleza wadau wa Marekani vivutio vya utalii vya Tanzania na huku akiwafagilia wazamini wake wa shirika la ndege la Ethiopia kua sasa ndio ndege ya kusafiri nayo kwenda Tanzania kwani sasa wana ndege ya moja kwa moja kutoka hapa Washington,DC mpaka addis aababa,Ethiopia
Seif Msabaha akiinadi Tanzania kwenye Adventure Travel Show iliyofanyikia Washington Convention Center
Kushoto ni Macon Dunnagan mkurugenzi wa Kilimanjaro Expedition yeye alikua akishirikiana na Rashid Adam(hayupo pichani) wao walikua wakiunadi mlima Kilimanjaro kwa wadau wa Washington,DC,Bw.Macon Dunnagan kwa siku 27 hupanda mlima Kilimanjaro mara tatu
Hili ni moja ya mabango yao ya kuunadi mlima Kilimanjaro
Juu na chini ni Adventure Travel Show muonekano wake kutoka juu
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake