ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, March 3, 2011

Chacha Dancing Competition @ Millenium Club,March 4,2011

Leo ndio Leo asiyekua na mwana aeleke jiwe,homa ya  Mashindano ya Chacha yazidi kupanda washiriki wakataa majina yao yasitangazwe "Eti wanaogopa kulogwa",haya kazi kwenu kama hujui kucheza chacha karibu sana ujifunze na kuwaona Vijana wa zamani wakionyesha ufundi
Zawadi nono kwa mshindi
(kinyanga usimwambie mtu siri yako)
bila kusahau nakukaribisha Leo Ijumaa 
unisaidie kuzima mishumaa kwenye keki ya Besidei ya Mpwa 
watakao wahi kabla ya saa sita wataingia bure.
MUSIC
BY
DJ LUKE
KARIBUNI

No comments: