Wednesday, March 9, 2011

Image
Makamu wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilal akiangalia baadhi ya vifaa vya kupimia Virusi vya Ukimwi baada ya kufungua Kituo cha kutolea Tiba kwa  walioathirika na maambukizi ya Virusi hivyo mkoani Mbeya. Kituo hicho kimejengwa kwa msaada wa Shirika la Kimataifa la Abbott Fund la Marekani. (Picha na Amour Nassor)

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake