Tuesday, March 15, 2011

Mayrose TALK SHOW kufanya kipindi Millenium Alhamisi,March 17,2011

Mayrose mwenye kipindi cha Mayrose TALK SHOW kinchorushwa na Star TV,Tanzania anakukaribisha kwenye kipindi chake kitakacho zungumzia Demokrasia ya Nchi yetu siku ya Alhamisi March 17,2011 saa 11:00 jioni(5:00Pm),Millenium Club

Address
1511 University Blvd
Hyattsville,MD,20783

Hii ni kwa Watanzania wote Ndani na Nje ya DMV

KARIBU
Zingatia Muda tafadhali kuna Disco La Latino Linaanza Saa 3:00 Usiku(9:00Pm)

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake