Mchango kwa yatima- Makete
Naamini nyote ni wazima, Nakumbusha kuhusu ahadi ya kuchangia watoto yatima kule Makete, Ninategemea kuupeleka mchango mwisho wa mwezi huu.
Unaweza ukachangia kwa kutuma kwenye account ya EWAO Printers a/c no 00001360106329 iliyopo kwenye bank ya Capital one, au nipigie simu tupange jinsi ya kukutana.
Natanguliza shukrani za pekee na Mungu awabariki sana na kuwaongezea pale mtakapo pungukiwa
Okoka Sanga
240 505 7280
No comments:
Post a Comment