Irene anapokua kwenye U-kodak moment
Unaponunua mzinga Millenium,unawekewa kombora kwenye chupa yako (sio makombora ya Gonga La Mboto ) kwani kwao mteja ni mfalme.kwenye picha ni Khalfan na Liz
wadau awakipata U-kodak wa kukmbukumbu Millenium Club
Liz James akiwa na Dickson Mkama(DMK) kwenye U-kodak moment Millenium Club,Reggae Night
No comments:
Post a Comment