ANGALIA LIVE NEWS

Monday, March 28, 2011

Sakata la Dogo anaetoa Dawa Jijini Mbeya lapamba moto

Wakazi wa jiji la mbeya na vitongoji vyake na kutoka mikoa ya jirani Sumbawanga Iringa Songea  wakiandamana kuuelekea ofisi ya mkuu wa mkoa Mbeya kupinga kusitishwa kwa huduma ya matibabu ya magonjwa mbalimbali anayotoa kijana JAFARI WILLINA
Wananchi wakiwa ofisi ya mkuu wa mkoa mbeya wakiwasubiri wawakilishi wao kuwapatia majibu toka kwa mkuu wa mkoa
Hii ndiyo barua ya kusitisha huduma ya tiba ya asili kwa kijana JAFARI WILLINA Iliyoandikwa na mganga mkuu wa halmashauri ya jiji la mbeya Dk Samweli Lazaro.

Picha kwa hisani ya Mbeya Blog 

No comments: