Monday, March 14, 2011

U-KODAK MOMENT

One momento Mpwa nikae kisitaili!!
Aih hii staili mpwa siitaki sasa ngoja nikae kimtindo!!
Mpwa kimtindo sijapenda kabisaaa,ngoja sasa nije na pozi!
Hii sasa Mpya nimeikubali,kuanzia leo Mau-kodak yangu nitakua napiga na staili ya POZI!

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake