Thursday, March 17, 2011

Image
Unaweza kushangaa gari lililokuwa limembeba Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Issa Machibya, aina ya Toyota Land Cruiser , limefikaje hapo, lakini ndivyo ilivyokuwa kwa kuwa dereva alilazimika kuacha njia ili asigongane na mwendesha pikipiki katika barabara ya Morogoro- Dar es Salaam. (Picha na John Nditi).

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake