Yahaya Kheri(shoto) na Vincent Ndusilo
Yahaya Kheri na Vincent Ndusilo,wakaazi wa Maryland wamejitolea kufundisha watoto wenye umri kati ya miaka 6 hadi 12 kucheza mpira wa miguu.
Wote wamecheza mpira wa miguu ngazi ya vyuo,Yahaya Kheri amechezea chuo cha West Virginia wakati Vincent Ndusilo amechezea UDC,walikua wanaomba wazazi watakao waleta watoto wao wajaribu kuwatafutia Bima(insurance) na baada ya kufanya hivyo piga simu Yahaya Kheri 202 569 9798 na Vincent Ndusilo ni 301 256 8615.
Mafundisho yanatarajiwa kuanza Jumapili ya April 3,2011.
No comments:
Post a Comment