Kumbukumbu ya Mzee Matthew Elirehema Mmari
Wewe ndiye uliyekuwa Nguzo na Msingi katika kutuongoza na kufurahia maisha yetu. Tunakumbuka sana ukarimu na ucheshi wako; mafundisho na maadili yako. Hatutaweza kamwe kusahau msisitizo wako kuhusu Upendo na Umoja kati yetu pia kumcha Mungu.
Unakumbukwa sana na ndugu, jamaa na marafiki. Kipekee zaidi unakumbukwa na mkeo Mrs. Dekarisa Mmari; Wanao Vincent, Hubert, Judith, Robert, Joyce, Neema; Wajukuu wako G, Tevin, Amani, Baraka, Daudi, Dekarisa na Dekarisa-Silvia. Hakuna atakayeweza kuliziba pengo ulilotuachia Baba.

1 comment:
Bwana ametoa...bwana ametwaa jilna la lihimidiwe...R.I.P Baba amen
Post a Comment